JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

WHO ina wasiwasi wa kuzuka mripuko wa ugonjwa wa polio Gaza

Afisa wa ngazi ya juu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ameonesha wasiwasi juu ya uwezekano wa miripuko katika Gaza iliyokumbwa na vita baada ya virusi vya ugonjwa wa kupooza kugunduliwa kwenye maji taka Ayadil Saparbekov, ambae ni mkuu wa…

Democratic waonekana kumuunga mkono Harris

Makamu wa Rais,Kamala Harris ameonekana kuungwa mkono  na wajumbe wa kutosha wa Chama cha Democratic  kuteuliwa kuwa mgombea wa urais wa chama hicho. Utafiti uliofanywa na Shirika la Habari la Associated Press  umegunduakuwa zaidi ya wajumbe 1,976 wako tayari kupiga…

Dira mpya itafsiri maono ya Rais Samia

MKUU wa Wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko amesema kupitia dira mpya anatamani viongozi kuangalia muelekeo wa Rais Samia Suluhu Hassan katika kutafsiri maono yake katika misingi ya ujenzi wa taifa lenye usawa, haki na uhuru wa watu. Bomboko amesema hayo…

BASATA yamfungia Babu wa Tiktok

Msanii wa Muziki wa Taarabu Seif Kisauji ‘Babu wa Tik tok’ afungiwa kufanya kazi za Sanaa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Miezi sita na kupigwa faini ya shilingi Milioni 3. Baraza la Sanaa la Taifa kupitia Sheria Na….

Ziara ya Dk Biteko Bukombe yawakosha wakazi

ZIARA YA DKT. BITEKO BUKOMBE YAWAKOSHA WAKAZI KATA NAMONGE 📌 Waipongeza Serikali ya Rais Samia kuboresha huduma za jamii 📌 Waomba kujengewa Barabara kusafirisha mazao 📌 Dkt. Biteko aagiza kukamilishwa, kutumika Zahanati Kijiji Ilyamchele 📌 Awahakikishia ukarabati wa Barabara ipitike…