JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Wachimbaji dhahabu zaidi ya 200 wapata elimu ya matumizi salama ya Zebaki Kibaga Mine

Na Helena Magabe,JamhuriMedia Tarime NEMC kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkemia Mkuu Kanda ya Ziwa pamoja na Tume ya Madini Kanda ya Ziwa kwa udhamini wa Benki ya Dunia wametoa elimu ya matumizi salama ya zebaki kwa wachimbaji wa dhahabu…

Waziri Ndumbaro awasimamisha viongozi wote TPBRC

Isri Mohamed Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt Damas Ndumbaro amemsimamisha Rais wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa nchini (TPBRC), Chaurembo Palasa, pamoja na Katibu mkuu George Silas na viongozi wengine wote wa kamisheni hiyo ili kupisha uchunguzi wa…

Serikali yaainisha mpango wa kusaidia wachimbaji wadogo nchini

Waziri wa Madini Mhe.Anthony Mavunde ameainisha mpango wa Serikali wa kusaidia utatuzi wa changamoto zinazowakabili wachimbaji wadogo nchini. Waziri Mavunde ameyasema hayo leo Mei 9, 2024 wakati akijibu swali la Mhe. Dkt. Christine Ishengoma Mbunge wa Viti Maalum aliyetaka kujua…

Magari, abiria waliokwama Lindi kwa siku sita waanza kuendelea na safari

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Lindi Magari ya mizigo, mabasi na magari mengine madogo yaliyokwama kwa siku sita katika barabara ya Lindi-Dar es Salaam eneo la njia nne (Mikereng’ende) hadi Somanga yakitokea Lindi kuelekea Dar es Salaam yameanza kuruhusiwa kuendelea na…

Kifo cha utata, mtoto miaka 8 akutwa amekufa ndani ya shimo la maji taka

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha MTOTO Angel Mseven (8) mwanafunzi wa darasa la pili shule ya msingi Carisa Mwendapole, Kibaha mkoani Pwani amekutwa amefariki dunia ndani ya shimo la maji taka. Alithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoani…