JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Biden ajitoa kwenye kinyangโ€™anyiro cha urais Marekani

Rais wa Marekani Joe Biden ametangaza kusitisha kampeni za kuwania muhula wa pili wa urais na kusema amechukua uamuzi huo ”kwa maslahi ya chama chake na nchi.” Uamuzi wa Biden kujitoa kwenye mbio za urais umekuja ikiwa imesalia miezi minne…

Kailima : Wengi wajitokeza kuboresha, kujiandikisha Daftari la Kudumua la Wapigakura

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kigoma Zoezi la Uboreshaji la Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mikoa ya Kigoma, Katavi na Tabora limeingia siku ya pili baada ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa kulizindua…

โ€˜Dira ya Taifa ya Maendeleo ni picha, maonoโ€™

MWANZA: Dira ya Taifa ya Maendeleo ni picha na maono kuhusu mustakabali tarajiwa wa maendeleo ya nchi kwa siku za usoni. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema hayo leo wakati akifungua Kongamano la Kwanza la…

Afrika Mashariki Kukabiliwa na Malaria Sugu,

Wanasayansi duniani wameziomba Mamlaka za Afya barani Afrika kuchukua tahadhari dhidi ya malaria sugu ambayo inadaiwa kuwa mamilioni ya watu wako hatarini kuambukizwa. Taarifa zinasema kuwa viwango vya dawa vimeonekana kutofanya kazi katika baadhi ya maeneo kutoka chini ya asilimia…

Wapiga kura wapya zaidi ya milioni tano kuandikishwa

โ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆ Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa kwa mujibu wa takwimu za Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 jumla ya wapiga kura wapya 5,586,433 wataandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Amesema kuwa wapiga kura hao ni…