Latest Posts
Rais Samia apongezwa kuboresha huduma za afya ya jamii Shinyanga
Na Allan Vicent, JamhuriMedia, Shinyanga RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amepongezwa kwa kuboresha mazingira ya utoaji huduma za afya ya jamii na kutoa fursa kwa wadau na mashirika kutoa huduma katika mikoa mbalimbali. Pongezi…
Saratani ya mapafu ugonjwa uliosababisha kifo cha mzee Mwinyi
Na Mohammed Sharksy,JamhuriMedia -SUZA Saratani ya mapafu ni aina ya saratani ambayo huanza katika sehemu yoyote ya mapafu. Kama inavyojulikana tayari, saratani ni hali ambayo husababisha mgawanyiko wa haraka na usioweza kudhibitiwa wa seli ambayo husababisha ukuaji wa tumors. Kwa…
‘Hakuna mwanachama NHIF atakayekosa matibabu’
Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kamati ya Kupitia Kitita cha Mafao cha NHIF cha mwaka 2023 imesema hakuna Mtanzania atakayekosa matibabu kwa kuwa mkataba baina ya mfuko na watoa huduma za afya wa sekta binafsi (APHTA) haujavunjwa. Akizungumza…
Rais Mstaafu Ally Hassan Mwinyi afariki dunia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Tanzania, Ally Hassan Mwinyi (98), amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Mzena jini Dar ea Salaam. Akitangaza msiba huo jioni ya leo Februari 29, 2024 Rais wa…
BRELA, TMDA kuimarisha ushirikiano
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) na Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) leo Februari 29, 2024 wamekutana kwa ajili ya kujadiliana kuhusu mashirikiano baina ya Taasisi hizo mbili ili…