Latest Posts
Rais Mwinyi akutana na Balozi wa Uswisi nchini Tanzania Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Switzerland Nchini Tanzania Mhe.Dider Chassot (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo 18-7-2024 kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha…
Makubaliano ya kuweka chini silaha DRC yarefushwa siku 15
Ikulu ya Marekani imesema makubaliano ya kusitisha mapigano na kuruhusu misaada ya kiutu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yamerefushwa kwa siku 15 zaidi ambapo sasa yatafika Agosti 3. Msemaji wa Baraza la Kitaifa la Usalama la Ikulu ya Marekani,…
Msimamizi wa mirathi ajirithisha magari
*Atumia mbinu chafu kupoka haki ya mke mdogo wa kaka yake, mtoto wa miaka mitatu Na Anthony Mayunga, JamhuriMedia, Serengeti Katika hali isiyotarajiwa, Esther Iroga, msimamizi wa mirathi ya Ramadhani Manyabu, anadaiwa kujirithisha magari mawili kinyume cha utaratibu. Esther alichaguliwa…
Rais Biden asitisha kampeni baada ya kugundulika na UVIKO
Ikulu ya Marekani White House imesema rais wa taifa hilo, Joe Biden amegundulika kuwa na virusi vya UVIKO-19 na kuonesha dalili za athari za wastani za virusi hivyo. Msemaji wake, Karine Jean-Pierre amesema Biden aliyekuwa tayari amepata chanjo hiyo na…
Rais Samia : Bei ya mahindi sasa 700, mbegu za ruzuku kuanza mwenzi ujao
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya majumuisho ya ziara ya siku tatu mkoani Rukwa tarehe 17 Julai 2024 mbele ya maelfu ya wananchi wa Rukwa.ย โWaziri Bashe nakuagiza nendeni na bei ya shilingi 700…
Aisha Masaka atua Ligi Kuu wanawake England
Mchezaji wa mpira wa miguu wa wanawake wa Tanzania Aisha Masaka amejiunga na klabu ya Brighton & Hove Albion ya Ligi Kuu England. Brigton @ Hove Albion imemtambulisha Aisha kupitia mitandao yake na kijamii. โTunafurahia kutangaza usajili wa mshambuliaji Aisha…





