JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Serikali yataka WMA kuwashughulikia wafanyabiashara wanaowanyonya wakulima

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa, ameuagiza Wakala wa Vipimo (WMA) kuwashughulikia wafanyabiashara wanao wanyonya wakulima kwa kutumia ujazo uliopitiliza unaojulikana kama lumbesa na kueleza kuwa kipimo hicho ni mwiba kwa wakulima…

Wafanyabiashara wa mafuta zingatieni maisha ya wananchi – Dk Biteko

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Chama cha Waagizaji na Wasambazaji wa Mafuta nchini (TAOMAC) ambapo amewataka wafanyabiashara hao pamoja na faida wanayoipata wazingatie…

Wadau Serikali mtandao wakutana kujadili matumizi ya TEHAMA Arusha

Na Zulfa Mfinanga,Jamhurimedia, Arusha Agizo la Rais la kuzitaka Taasisi za serikali kufanya kazi kidigitali linaendelea kutekelezwa ambapo leo wadau wa serikali Mtandao (eGA) wamekutana jijini Arusha kwa kikao cha siku tatu cha kujadili matumizi ya TEHAMA serikalini. Kikazi kazi…

Ushawishi wa Tanzania Duniani unategemeana na sera ya Mambo ya Nje inayorekebishwa

Na Mwandishi Maalum Imeelezwa kuwa ili Tanzania iweze kufikia malengo ya Maendeleo iliyojiwekea, lazima iwe na Sera Bora ya Mambo ya Nje inayozingatia maoni na matakwa ya makundi yote ya wadau nchini. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi…

Mchengerwa : Imarisheni ulinzi wa vifaa vipya vya TEHAMA shuleni

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa amewaelekeza Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakurugenzi wa Halmashauri kuhakikisha wanaimarisha ulinzi na kufikisha kwenye vituo teule vifaa vya TEHAMA vilivyogawiwa kwa vituo zaidi ya…