JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mahakama Pwani yairejesha Serikalini milioni 707 kesi za uhujuu uchumi

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Mkuu wa Pwani, Abubakar Kunenge, ameipongeza Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Pwani kwa kuiwezesha Serikali kufidiwa kiasi cha sh milioni 707 baada ya kumalizika kwa mashauri nane (8) ya uhujumu uchumi yaliyohusisha uharibifu wa…

Ngozi asisitiza kulinda amani iliyodumishwa na waasisi wa taifa

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, Taifa na Mlezi wa Mkoa wa Pwani, Lailah Burhan Ngozi, amewataka Watanzania kuilinda kwa nguvu zote amani ya Tanzania waliyoachiwa na waasisi wa Chama cha Mapinduzi…

Urusi yaishambulia tena miji mikubwa ya Ukraine

Majeshi ya Urusi yameishambulia tena miji miwili mikubwa ya Ukraine mapema leo na kusababisha madhara makubwa kwa majengo na miundombinu ya nishati, lakini hadi sasa hakuna taarifa yoyote ya vifo. Kwa mujibu wa mkuu wa majeshi wa mji mkuu, Kiev,…

Mahakama Kuu Kanda ya Songea yafanikiwa kumaliza kesi 19 kati ya 22

Na Mwandishi Wetu, Songea MAHAKAMA kuu kanda ya Songea,imefanikiwa kumaliza kusikiliza mashauri 19 ya kimkakati sawa na asilimia 86 yanayohusu kodi,biashara,benki na ardhi kati ya 22 yaliyofikishwa mahakamani mwaka 2025. Hayo yamesemwa jana na Jaji Mfawidhi wa Mahakama kuu kanda…

Siku 100 za Dk Samia, mapinduzi ya kimkakati sekta ya madini yaiweka Tanzania katika daraja la kimataifa

Ndani ya kipindi kifupi cha siku 100 za uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Sekta ya Madini imeendelea kujiimarisha kama moja ya vielelezo bora vya mageuzi ya kiuchumi yanayoongozwa na maono, Sera thabiti…