JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Serikali kuanza kutoa vibali vya ujenzi kwa wamiliki walio tayari uendelezaji upya eneo la Sinza

Dar es Salaam Serikali imetangaza kuanza kutoa vibali vya ujenzi na kufanya majadiliano na wamiliki wa ardhi na nyumba ambao wapo tayari kushiriki kwenye Mpango wa Uendelezaji Upya eneo la Sinza, huku ikisisitiza kuwa mchakato uliopita umefutwa ili kutoa nafasi…

Kunenge: Nanenane iwe jukwaa la kutatua changamoto za kilimo

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani MKUU wa Mkoa wa Pwani, Abubakari Kunenge, amewataka wataalamu wa sekta za kilimo, mifugo na uvuvi kuhakikisha Maonesho ya Nane Nane ya mwaka huu yanakuwa chachu ya kuongeza tija, uzalishaji na thamani ya mazao ili…

Jaji Mkuu akemea vikali vitendo vya kuingilia amri na maamuzi ya mahakama

*Awataka Madalali na Wasambaza Nyaraka za Mahakama kusimama ipasavyo katika utendaji kazi wao Na MARY GWERA, Mahakama-Dodoma Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. George Masaju amekemea vikali vitendo vya baadhi ya Viongozi wa Serikali na wa Kisiasa…

Waziri Mkuu : Kafulila kiongozi kijana mwenye upeo mpana

*Amtaja Kama Kiongozi Kijana Mwenye Exposure ya Kimataifa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, amemsifu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP Centre), David Kafulila, akimtaja kuwa ni…

Serikali kuendelea kuimarisha mazingira ya biashara na uwekezaji

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kuimarisha mazingira ya biashara, uwekezaji na viwanda kwa kufanya mageuzi ya sera, sheria, kanuni na mifumo ya utoaji huduma ili kuiwezesha sekta binafsi kuwa mhimili wa ukuaji wa uchumi na utekelezaji wa…

Bei za mafuta yashuka

Habari njema kwa watumiaji wa mafuta nchini. Kuanzia Jumatano, tarehe 01 Julai 2026, bei kikomo za bidhaa za petroli zimeshuka kutokana na kupungua kwa bei za mafuta katika soko la dunia. Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji…