JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Utalii wa kimafunzo washika kasi, wanafunzi Chuo cha Quinnipiac nchini Marekani wawasili nchini

Na Mwandishi Maalum Timu ya Wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Quinnipiac chini Marekani wakiambata na Maprofesa wao, wamewasili nchini kupata uzoefu na elimu juu ya uhifadhi na namna tafiti zinavyosaidia uhifadhi wa Maliasili. Ziara yao itaambatana na kutembelea hifadhi za…

Serikali wilayani Nkasi yaishukuru Kanisa la TAG Namanyere kwa kuchangia ujenzi wa shule

Na Israel Mwaisaka, JamhuriMedia, Nkasi SERIKALI wilayani Nkasi imelishukuru kanisa la Assemblies of God (TAG) la mjini Namanyere kwa msaada wa mifuko 10 ya Cementi iliyoitoa kwa ajili ya kuikarabati shule ya msingi Nkomolo ambayo inaitaji ukarabati mkubwa baada ya…

Watanzania waaswa kutumia fursa ya msaada wa kisheria kutatua migogoro

πŸ“Œ Ni kupitia kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia πŸ“Œ TEHAMA kutumika utoaji haki πŸ“ŒWatoa huduma za sheria wahudumie wananchi kwa upendo Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa…

Jaji Mwangesi: Vyombo vya habari ni nguzo muhimu katika ukuzaji wa maadili ya viongozi

Na Stella Aron,JamhuriMedia, Dar es Salaam Kufuatia marekebisho ya Katiba mwaka 1995, Serikali iliianzisha Sekretarieti ya Maadili chini ya Ibara ya 132 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977. Sekretarieti ilianza kazi zake rasmi Julai, mwaka 1996…

Ahukumiwa jela maisha kwa kumlawiti mtoto wa miaka 13

Mahakama ya Wilaya ya Muheza mkoani Tanga imemhukumu jela kifungo cha maisha, Ramadhani Bakari Iddi (46) mkazi wa Kilapula, Kata ya Ngomeni kwa kosa la kumlawiti mtoto mwenye umri wa miaka 13. Akitoa hukumu hiyo juzi, Hakimu Mkazi wa Mahakama…

Safari treni ya kisasa kuanza rasmi Julai 25

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amesema kuwa safari ya treni ya mwendokasi ( SGR) kutoka Dar es Salaam mpaka Dodoma inatarajiwa kuanza Julai 25, 2024. Mbarawa amesema hayo baada ya kufanya ziara ya kukagua…