Bilionea Friedkin alipa

Kampuni za bilionea raia wa Marekani, Dan Friedkin, zilizonaswa kwenye kashfa ya ukwepaji kodi, zimeweka Sh bilioni 50 kwenye akaunti maalumu ya Serikali ya Tanzania. Habari za uhakika zinaonyesha kuwa pamoja na kulipa kiasi hicho, kuna fedha nyingine nyingi zilizoingizwa kwenye akaunti hiyo kama sehemu ya malipo kutokana na ukwepaji kodi mbalimbali. Kashfa ya ukwepaji…

Read More

Serikali yatahadharishwa kuhusu gesi

Serikali imetahadharishwa kuwa kucheleweshwa kwa makubaliano na wawekezaji katika mradi wa kiwanda cha kuchakata gesi asilia (LNG) kunaweza kuiingiza nchi kwenye hasara ya kutonufaika ipasavyo na rasilimali ya gesi asilia. Hayo yamebainishwa na wataalamu wa masuala mbalimbali yanayohusiana na gesi na mafuta kupitia kitabu kilichochapishwa hivi karibuni. Wataalamu hao walioandika kitabu hicho kinachoitwa ‘Governing Petroleum…

Read More

Kukosa umoja chanzo miradi mibovu ya maji

Hali ya miradi ya maji inayozinduliwa nchini mingi kutotoa maji ipasavyo inaelezwa kuchangiwa na mipango mibovu pamoja na ushirikiano hafifu baina ya wataalamu, hasa wahandisi wakati wa utekelezaji. Hayo yamebainishwa na Msajili wa Bodi ya Wahandisi nchini (ERB), Mhandisi Patrick Barozi, wakati wa uzinduzi wa kongamano la kujengea uwezo wahandisi lililofanyika jijini Dar es Salaam….

Read More

Ofisa Afya alia na Tume ya Utumishi

Ofisa Afya mstaafu, Joseph Ndimugwanko, ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Buhororo wilayani Ngara anailalamikia Tume ya Utumishi wa Umma kwa madai ya kutomtendea haki katika rufaa yake ya Agosti 20, 2014 ya kupinga kufukuzwa kazi. Ndimugwanko alifukuzwa kazi Julai 30, 2014 na Mkurugenzi wa Wilaya ya Ngara kwa madai ya utovu wa nidhamu. Hata…

Read More