Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Liu Guozhong mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Januari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Liu Guozhong, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Januari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Liu Guozhong mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Januari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Liu Guozhong na Ujumbe wake, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Januari, 2024.