JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mbunge apongeza Kampuni ya Mwiba kutoa chakula cha bure wanafunzi 850 Meatu

Na Mussa Juma ,JamhuriMedia,Dodoma Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Simiyu, Minza Mgika ameipongeza Kampuni ya Utalii ya Mwiba Holding Ltd ambayo imewekeza wilayani Meatu mkoa wa Simiyu ,kwa kuendelea kutoa chakula cha bure kwa wanafunzi 850 wa shule ya…

Waombolezaji wafariki katika msafara wa mazishi wa Makamu wa Rais wa Malawi

Watu wanne, akiwemo mwanamke mjamzito, wamepoteza maisha baada ya gari lililokuwa kwenye msafara uliokuwa umebeba mwili wa marehemu Makamu wa Rais wa Malawi Saulos Chilima kuwagonga waombolezaji, polisi walisema. Watu wengine kumi na wawili walijeruhiwa katika tukio hilo la Jumapili…

Papa Francis azitaka mamlaka kukomesha mauaji mashariki mwa Congo

Baada ya sala ya Jumapili katika Kanisa Katoliki Jumapili, Papa Francis ametoa wito tena wa ulinzi wa raia mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo baada ya mashambulizi ambayo yameua mamia katika wiki za hivi karibuni. “Habari za kusikitisha za…

Netanyahu alivunja Baraza lake la Vita

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amelivunja Baraza lake la Vita ambalo husimamia operesheni za kijeshi huko Gaza. Mapigano yanaendelea pia kuripotiwa katika ardhi ya Palestina huku idadi ya vifo pia ikiongezeka. Taarifa ya kuvunjwa kwa baraza hilo la vita…

Mathias Canal aunga mkono juhudi za mbunge Bashungwa, achangia mil.1/- kuboresha sekta ya elimu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kagera Kufuatia juhudi zinazofanywa na Mbunge wa Jimbo la Karagwe Mhe Innocent Bashungwa katika kuimarisha sekta ya elimu ikiwemo ujenzi wa shule mpya ya msingi ya Kigasha, mwandishi wa habari Mathias Canal amechangia Shilingi Milioni 1…