Latest Posts
Rais Mwinyi aridhia uwanja wa Amaan kuitwa ‘ New Amaan Sports Complex’
Na Brown Jonas, JamhuriMedia, Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameridhia ushauri wa kuubadili jina uwanja wa Amaan na kuitwa “New Amaan Sports Complex” wakati wa uzinduzi wa awamu ya tatu…
Waganga wafawidhi Hospitali za Rufaa wawafagilia wauguzi Muhimbili
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waganga Wafawidhi wa Hospitali za Rufaa za Mikoa ya Temeke, Amana, Mwananyamala na Iringa wamewapongeza watoa huduma wa Hospitali ya Taifa Muhimbili hasa Wauguzi kutokana na huduma nzuri wanazotoa kwa wananchi wanaolazwa katika…
Dkt. Mollel: Wataalamu wa afya tengeni muda wa kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo nchini
na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Siha Wataalamu wa afya nchini wametakiwa kipindi wanachokuwa likizo kutenga muda wa kufanya utalii wa ndani ili kujionea vivutio mbambalimbali vilivyopo kwa kufanya hivyo kutasaidia kupumzisha akili zao. Rai hiyo imetolewa hivi karibuni na Naibu Waziri…
Wakunga, Wauguzi waliotahiniwa watakiwa kuripoti kwenye vituo vya mitihani
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma BARAZA la Uuguzi na Ukunga Tanzania limewataka watahiniwa wa mtihani wa usajili na leseni kwa wakunga na wauguzi waliosajiliwa kuhakikisha wanafika kwenye vituo walivyoomba kufanyia mtihani kesho Desemba 28 mwaka huu kuanzia saa mbili asuhuhi bila kukosa…
Watu 241 wauawa Gaza ndani ya saa 24
Takribani watu 241 wameuawa ndani ya saa 24 zilizopita na wengine 382 kujeruhiwa wakati oparesheni ya kijeshi ya Israel ikiendelea dhidi ya kundi la Hamas huko Gaza, Wizara ya Afya ya Gaza ilifafanua katika taarifa yake. Kwa mujibu wa taarifa…
DCEA yakamata mtandao wa uuzaji dawa za kulevya unaofuatiliwa duniani
Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya ya Tanzania (DCEA) imekatama kilogramu 3,182 za dawa za kulevya aina ya heroin na methamphetamine ambazo zilikuwa zimefungashwa kwenye vifungashio vya bidhaa zenye chapa za…