JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Dk Biteko azindua taarifa za utendaji sekta ya nishati

📌 Sekta ya Nishati yazidi kuimarika 📌 Uwekezaji kwenye Gesi Asilia, Mafuta na Umeme waongezeka 📌 Ataka changamoto zilizoainishwa zipatiwe majibu ndani ya miezi mitatu 📌 Aitaka EWURA kupima uhusiano wa Rasimali na mabadiliko ya Maisha ya watu 📌 Aagiza…

Swissport kutoa gawio la bilioni 1.8/ -kwa wanahisa wake

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kampuni ya Swissport inatarajia kutoa gawio la Sh. Bilioni 1.8 kwa wanachama wake baada ya kupata faida ya Sh. Bilioni 3.6 kwa mwaka 2023. Hayo yamebainishwa leo Juni 14, 2024 jijini Dar es…

TCRA : Idadi ya watumiaji simu janja imeongezeka

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkurugenzi wa Huduma za Utangazaji kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Mhandisi Andrew Kisaka amesema kuwa kufikia machi 2024 Idadi ya watu ya watumiaji simu janja imeongezeka kufikia asilimia 32.59 kutoka asilimia 32.13…

TLS : Wananchi bado wanahitaji katiba mpya

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimesema kuwa wananchi bado wanahitaji Katiba Mpya ambayo ni mustakabari wa Nchi. Kutokana na hilo, TLS imeendelea kutimiza wajibu wake kwa umma kwa mujibu wa sheria ambapo imeendesha…

RC Kunenge amemuapisha Magoti kuwa DC Kisarawe

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Alhaji Abubakari Kunenge amemuapisha Petro Magoti (Juni 14) kuwa mkuu mpya wa Wilaya ya Kisarawe na kumuagiza kuhakikisha anaweka kipaumbele katika suala zima la ulinzi na usalama katika wilaya hiyo….

Chumba maalum cha ufuatiliaji maafa cha kwanza Bara la Afrika chazinduliwa Tanzania

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, SERIKALI kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu)imezinduzi Chumba maalum cha Ufuatiliaji wa Mwenendo wa Majanga na Tahadhari ya Mapema (Situation Room for Mult-Hazard Monitoring and Early Warning) katika Kituo cha Taifa cha Operesheni…