JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Lengo la Serikali ni kusogeza huduma za lishe kwa jamii – Prof. Mkumbo

Na Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema kuwa uamuzi wa Serikali wa kufuta Taasisi ya Chakula na Lishe unalenga kuongeza wigo wa kusogeza karibu zaidi huduma za…

Serikali yataka ushirikiano utekelezwaji mradi wa Magadi Soda mkoani Arusha

Katibu Mkuu Madini asema utaokoa matumizi makubwa ya Fedha za Kigeni Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Serikali imewataka vongozi wa taasisi zinazohusika na Mradi wa Kimkakati wa Magadi Soda ulioko Engaruka Wilayani Monduli Mkoa wa Arusha kushirikiana kwa karibu katika…

Mollel: Wananchi wengi zaidi kufikiwa na huduma za kibingwa za matibabu ya moyo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Siha Serikali imetenga kiasi cha shilingi trilioni 6.7 kwaajili ya kuboresha huduma za afya hii ikiwa ni pamoja na kusomesha wataalamu ndani na nje ya nchi ili wananchi wengi waweze kupata matibabu ya kibingwa ya magonjwa…

Makonda : Tatizo la kukatika kwa umeme TANESCO ijitathmini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Chama cha Mapinduzi (CCM), Taifa kimesema kuwa tatizo la kukatika kwa umeme limekuwa ni changamoto kubwa kwa wananchi na hivyo kimewataka watendaji wa Shirika la umeme nchini TANESCO kujitathimini. Kimesema kuwa hakuna haja ya kutafuna…

Waziri Jafo azitaka halmashauri nchini kutenga bajeti ya kuzalisha miche

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dkt. Selemani Jafo amezielekeza halmashauri zote nchini kutenga bajeti kwa ajili ya kuzalisha miche ili kuongeza nguvu katika zoezi la upandaji. Amesema hayo wakati…

Puuzeni upotoshaji unaofanyika mitandaoni kuhusu misaada Hanang – Matinyi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Njombe Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Mobhare Matinyi, amewataka wananchi kupuuza upotoshaji wa taarifa unaofanywa kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya watu na vyombo vya habari visivyofuata maadili ya kazi kuhusu misaada inayotolewa kwa waathirika…