JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Undani, Ziara ya kitaifa ya Rais wa Romania nchini

Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Romania, Klaus Iohannis, atafanya Ziara ya Kitaifa nchini kuanzia tarehe 16 hadi 19 Novemba 2023 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu…

Wakazi wa bonde la mto Msimbazi kulipwa fidia kupisha uendelezaji wa bonde hilo

Hayo yamejiri Novemba 15, 2023 wakati Waziri wa Nchi Ofisi Rais TAMISEMI Mohamed Mchengerwa pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila alipokutana na wakazi hao katika viunga vya Ofisi za Young African Ilala Jijini Dar…

Vyuo vya Afya vyatakiwa kutumia mitaala inayoendana na wakati.

Na Mwandishi Wtu JAMHURI MEDIA, Dar es Salaam Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt.Jakaya Kikwete amewataka wadau wa afya nchini ikiwemo serikali kuwekeza kwenye vyuo vya afya kwa kuangalia mitaala inayotumika na njia zinazotumika kufundishia kwani zinapaswa kuendana na…

Ziara ya Dk Biteko mikoa ya Lindi, Mtwara yaacha alama

📌Aagiza kituo cha Polisi, Afya, Taa za Barabarani kuwekwa Kijiji cha Msimbati 📌Wananchi Kijiji cha Songosongo kupatiwa umeme, Maji, Kivuko 📌Aagiza Vijiji vya Msimbati, Madimba na Songosongo kupata gawio la Ushuru wa pHuduma 📌Ataka TANESCO kuja na suluhisho la changamoto…

Stamico: Tutaendelea kuwabeba wachimbaji wadogo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Lindi Shirika la Madini la Taifa (Stamico) limesema litaendelea kutoa elimu, vifaa na kuboresha mazingira ya uchimbaji hapa nchini ili rasilimali za Taifa ziweze kusaidia wengi zaidi. Miongoni mwa mafanikio wanayojivunia ni ushirikiano na makubaliano waliyoingia…

Dkt.Mwinyi:Imarisheni mipango ya maendeleo kukuza haki za kiuchumi kwa wanawake

Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA, Dar es Salaam Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Alli Mwinyi amewataka mawaziri wa fedha na jinsia kwa nchi za Afrika kuimarisha mipango ya maendeleo ili kukuza haki za kiuchumi…