Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (25)
Wiki iliyopita nilihitimisha mada yangu kwa kuhoji: “Mpendwa msomaji, je, unafahamu kodi inayoitwa Kodi ya Ongezeko la Mtaji (Capital Gains Tax) na inatozwa kwenye bidhaa zipi? Ni bidhaa mbili ambazo kwa njia moja au nyingine watu wengi hata wasiokuwa wafanyabiashara kwa nyakati tofauti wameshiriki kufanya biashara hiyo, lakini aghalabu ni wachache wanaoilipa kodi hii, ila…