JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Gavana Bwanku awashauri waganga wa jadi kujiepusha na ramli chonganishi

📍Bukoba, Kagera Aongozana na mwenyekiti wa Machifu Mkoa wa Kagera Chifu Nyarubamba, watendaji wa Kata, Polisi Afisa Tarafa wa Tarafa ya Katerero iliyoko Wilaya ya Bukoba mkoani Kagera Bwanku M Bwanku leo Jumamosi Julai 13, 2024 amefanya kikao na waganga…

RC Chalamila : Serikali itaweka utaratibu mzuri kwa wafanyabiashara Simu 2000

-Awakutanisha DART, Manispaa ya Ubungo na Wafanyabishara wadogo.-Aeleza dhamira ya Serikali kutekeleza mradi huo-Asisitiza bado Serikali itaendelea kujali na kuweka mazingira rafiki kwa wafanyabiashara wadogo Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar ea Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert…

Rais Samia : Acheni kuvamia maeneo ya hifadhi

Na Happiness Shayo, KamhuriMedia, Katavi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi kuacha kuvunja sheria kwa kuvamia maeneo ya hifadhi na badala yake kutunza mazingira hayo. Kauli hiyo imekuja kutokana na maombi ya…

Timu ya Taifa ya Tenis safarini kushiriki mashindano ya dunia

Na Lookman Miraji,JamhuriMedia, Dar es Salaam Timu ya taifa ya mchezo wa tenis imesafiri asubuhi ya leo hii kuelekea nchini bostwana kushiriki mashindano ya Dunia kanda ya tano kwa ukanda wa Afrika. Akizungumza hapo jana katika hafla ya kuagwa kwa…