JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Askari wanawake watakiwa kuongeza idadi ya washiriki wa ulinzi wa amani

Na Mwandishi Wetu, Jeshi la Polisi-Dar es Salaam Askari wanawake watakiwa kuwa mstari wa mbele katika kushiriki misheni za kulinda amani katika mataifa yenye changamoto za kiusalama. Hayo yamebainishwa jijini Dar es salaam katika maadhimisho ya 23 ya adhimio la…

TMDA yawanoa wadhibiti wa vifaa tiba barani Afrika juu ya Tathmini ya vifaa tiba vya mama na mtoto

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba Nchini (TMDA) inaendesha mafunzo ya siku tatu Jijini Dar es Salaam ya kufanya tathmini ya udhibiti wa vifaa tiba vya Wamama, Watoto wachanga na Watoto kwa wataalam wa vifaa tiba…

TMA yatoa utabiri wa mvua maeneo yanayopata msimu mmoja

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kufuatia kuanza kwa mvua za msimu Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imeitaka idara ya menejimenti  ya maafa nchini  kuendelea kuratibu utekelezaji wa  mipango itakayosadia kupunguza madhara yanayoweza kujitokeza kipindi cha mvua…

TCAA atolea ufafanuzi kuhusu kibali cha ndege iliyokodiwa na CHADEMA

Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imesema katika siku za hivi karibuni, hakuna chama chochote cha siasa ambacho kimeomba kibali cha kuingiza ndege nchini hayo yamesemwa leo wakati wa kutolewa kwa ufafanuzi wa habari iliyosambaa kuhusu kibali cha ndege…

Katibu Mkuu TALGWU awapongeza wanachama kusimamia mipango miji

Na Zephania Kapaya, JamhuriMedia, DodomaKatibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU), amewapongeza wanachama kwa kazi kubwa wanayoifanya ya kusimamia ipasavyo suala la mipango miji, changamoto za ukuaji wa miji pamoja na kuchangia maendeleo endelevu katika Nchi…

Ummy : Hali ya lishe kwa vijana balehe bado ni changamoto

Na Mwamvua Mwinyi, Jamhurimedia, Mkuranga Tatizo la hali ya lishe kwa kundi la vijana balehe bado ni changamoto katika Mkoa wa Pwani ,licha ya mkoa huo kuwa wa kwanza kitaifa katika suala la lishe. Aidha tafiti za malaria na lishe…