JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Prof.Janabi: Wataalamu sekta ya afya wanahitaji msaada wa ujuzi na maarifa kuliko aina nyingine ya msaada

Na Mwandishi Wetu, JamburiMedia Wataalamu wa sekta afya wanahitaji msaada wa ujuzi na maarifa kuliko aina nyingine ya misaada kwa kuwa itasaidia kusambaza maarifa hayo kwa vizazi na vizazi na hatimaye kusaidia kuokoa maisha. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa…

Asasi za Kiraia zaiangukia Serikali kuwepo kwa sheria rafiki

Na Zulfa Mfinanga, Jamhuri Media,Arusha Wakati dunia ikiingia katika teknolojia mpya ya akili bandia, Asasi za kiraia nchini zimeiomba Serikali kutunga sheria rafiki zitakazowezesha kuleta maendeleo kwa haraka kupitia teknolojia hiyo badala ya kutunga sheria zitakazominya kasi ya kuleta maendeleo…

Waziri Mkuu awataka madereva wa Serikali wazingatie sheria

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka madereva wa Serikali kuwa mfano wa kuzingatia sheria zote kwa sababu kuendesha gari ya Serikali haimaanishi wamepewa rungu la kuvunja sheria bali wanapaswa kuwa mfano wa kuzizingatia hasa zile za…

Rais Samia ashiriki maadhimisho miaka 59 ya Uhuru wa Taifa la Zambia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema Ikulu Jijini Lusaka kabla ya kwenda kuhudhuria Sherehe za miaka 59 ya Uhuru wa nchi hiyo tarehe 24 Oktoba,…

Ummy: Rais Samia amedhamiria kuleta mapinduzi viwanda vya dawa na vifaa tiba

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Njombe Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, amedhamiria kuleta mapinduzi sekta ya viwanda hususani viwanda vya dawa na vifaa tiba. Amesema katika hatua hiyo, Rais Dk. Samia anaendelea kutoa fedha kwa…

Teknolojia mpya ya habari ya (AI) kuchagiza ukuaji habari

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Wamiliki wa vyombo vya habari na wanahabari kwa ujumla hapa nchini, wameshauriwa kuitumia Teknolojia mpya ya kimtandao inayojulina kama Akili bandia (Artificial Intelligence), ili kukabiliana na changamoto ya uchumi na uhaba wa rasrimali watu katika…