Dk Mpango awasili Dodoma kuanza ziara ya kikazi siku nne
JamhuriComments Off on Dk Mpango awasili Dodoma kuanza ziara ya kikazi siku nne
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kwaajili ya kupokea taarifa ya Mkoa na kuanza rasmi ziara ya kikazi ya siku nne mkoani humo. Tarehe 19 Agosti 2024