JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

RC Chalamila azindua zoezi la ugawaji vyandarua kwa wanafunzi wa shule za Msingi.

Na Mwandishi wetu Jamhuri Media Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Oktoba 18, 2023 amezindua zoezi la ugawaji vyandarua kwa wanafunzi wa shule za msingi Mkoani humo, Uzinduzi ambao umefanyika Katika ukumbi wa…

Wananchi wa Zepisa waomba serikali iwakumbuke kuwapatia maji, umeme na barabara

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Wananchi wa Mitaa ya Zepisa A na B kata ya Hombolo,Jijini Dodoma wameilalamikia Serikali kuwatelekeza na kushindwa kuwapa huduma ya maji, umeme na miundombinu ya barabara hali inayokwamisha maendeleo. Wamesema adha hiyo kwa muda mrefu toka mwaka…

Masoko kuvutia uwekezaji uwekezaji wa viwanda vya bidhaa, tiba, dawa

Na. WAF Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya kwa kushirikiana na wadau wa Maendeleo imejipanga kuwavutia wawekezaji wa viwanda vya ndani vya dawa kwa kutengeneza masoko ya bidhaa tiba na dawa zitakazo zalishwa Nchini. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu…

Majaliwa anadi vivutio vya uwekezaji Italia, abainisha msimamo wa Rais Samia.

Na OWM Milan Italia. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewakaribisha wawekezaji na wafanyabiashara wa nchini Italia kuja Tanzania kuwekeza katika ujenzi wa viwanda vya kuzalisha bidhaa mbalimbali kwa kuwa Tanzania ina malighafi za kutosha pamoja na uwepo wa masoko ya uhakika…

Dkt. Biteko na Naibu Waziri Kapinga wafanya kikao cha kimkakati

Dodoma. Mipango ya kuboresha Sekta ya Nishati yajadiliwa Leo Oktoba 19, 2023 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amekutana na kuzungumza na Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga kuhusu Masuala mbalimbali yanayohusu Sekta ya Nishati lengo…

Picha: Rais Samia ‘Kwaherini Tabora’

Habari Picha: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan amekamilisha ziara yake ya kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo ya wananchi katika mkoa wa Tabora leo Oktoba 19, 2023.