Latest Posts
Hali ya kibinadamu Gaza mbaya, Israel kuanza mashambulizi ya ardhini
Gaza sasa ikiwa imezingirwa kikamilifu na wanajeshi wa Israel na baada ya siku tano za mashambulizi ya mabomu, hali ya kibinadamu inazidi kuwa mbaya. Umeme ulikatika leo baada ya kituo pekee cha umeme katika eneo hilo kukosa mafuta. Hospitali, ambazo…
Serikali kulipa madeni ya wakandarasi
Serikali imeahidi kulipa deni la Sh bilioni 167 la Wakandarasi wazawa pamoja na wa kigeni. Deni hilo limetokana na ujenzi wa miradi mbalimbali katika maeneo tofauti. Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa wakati alipokuwa akizungumza na wakandarasi…
Mavunde amaliza mgogoro wa wachimbaji wadogo Chamwino
Waziri Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amemaliza mgogoro wa wachimbaji wadogo wa madini uliodumu kwa mwaka mmoja katika Kitongoji cha Mafurungu ,Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma. Akizungumza katika Mkutano na wachimbaji wadogo hao, Mavunde amesema kuwa serikali kupitia Wizara ya…
RC Tabora awashauri wakulima kuchangamkia kilimo cha kisasa
Na Allan Vicent, JamhuriMedia, Tabora Wakulima nchini wametakiwa kuzingatia kanuni za kilimo bora na kufuata maelekezo ya wataalamu ili kuwa na kilimo chenye tija. Ushauri huo umetolewa jana na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt Batilda Burian alipokuwa akifungua…
Dk Biteko ampongeza Ridhiwani kufikia utekelezaji wa ilani asilimia 96 Chalinze
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Chalinze NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ,Dotto Biteko, ametoa rai kwa wana-CCM kufanya siasa za kubadilisha maisha ya Watanzania katika kuwaletea maendeleo badala ya kufanya siasa za maneno matupu zisizojibu hoja. Aidha amewaasa watumishi…
Benki ya NMB tayari kutoa mikopo kidigitali kwa watumishi wa umma
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha BENKI ya NMB PLC imebainisha mipango yake ya kuanzisha mfumo wa uthibitishwaji wa maombi ya mikopo kwa njia ya kidigitali kwa wafanyakazi wa umma maarufu kama mchakato wa “E-Mkopo”. Mkaguzi Mkuu wa ndani wa Benki ya…