JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mtoto wa Mutukudzi apagawisha Sauti za Busara 2024

Na Andrew Chale, JamhuriMedia, Zanzibar MTOTO wa gwiji wa muziki wa Afrika, Hayati Oliver Mutukudzi, Selmor Mutukudzi amekonga nyoyo za mashabiki mbalimbali waliofurika viunga vya Ngome Kongwe ndani ya Mambo Club Unguja, Zanzibar, katika usiku wa tamasha la 21, lililoanza…

Ikupa Foundation yawashika mkono wenye mahitaji maalum

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Mbunge wa viti maalum Stella Ikupa ametoa wito kwa wadau mbalimbali kuendelea kusaidia makundi ya watu wenye uhitaji wakiwemo walemavu ambao wamekuwa na mahitaji mengi. Aidha ametoa msaada wa vitu mbalimbali kwa watu wenye ualibino mkoani hapa…

Naibu Waziri Pinda ataka upendo kwa watumishi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geophrey Pinda ametaka kuwepo upendo miongoni mwa watumishi ili waweze kutekeleza majukumu kwa ufanisi. Aidha, amewataka watumishi hao wa sekta ya ardhi kufanya kazi kwa bidii…

Serikali yaweka mikakati kuhakikisha usalama wa mtoto mtandaoni

Na Magrethy Katengu,JamhuriMedia, Dar ea Salaam Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Makundi Maalumu imesema inakwenda kuweka Mkakati Madhubuti ikiwemo kufanya mapitio ya sheria na kanuni itakayokwenda kusaidia kudhibiti Ukatili wa watoto Mtandaoni. Ameyasema hayo leo Februari…

Majaliwa aongoza kikao cha Kamati ya Mawaziri kuhusu nishati safi ya kupikia

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameongoza kikao cha Kamati ya Mawaziri kuhusu Nishati safi ya kupikia, katika ukumbi wa Spika, bungeni jijini Dodoma. Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko.