Latest Posts
Mawaziri sita kutoka Tanzania, Zambia wakutana kujadili bomba la mafuta Dar
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Waziri wa Nishati, January Makamba amesema Mawaziri 6 kutoka Tanzania na Zambia watakutana kwenye kikao kazi kitakachojadili ushirikiano baina ya nchi hizi mbili katika ulinzi na usalama wa Bomba la Mafuta la TAZAMA na…
DCEA yatoa elimu wanaotumia na wanaouza dawa za kulevya Sabasaba
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Kamshna Jenerali wa Mamlka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA),Aretas Lyimo amesema, mamlaka hiyo imedhamiria kutoa elimu zaidi kwa Watanzania kuhusiana na dawa za kulevya ili wawe na uelewa wa pamoja kuhusu…
Tanzania,Korea Kusini kushirikiana utafiti wa kilimo na teknolojia ya kisasa ya kilimo
Na Mwandishi Maalumu Nchi za Tanzania na Korea Kusini zimekubaliana kushirikiana katika kuimarisha utafiti wa kilimo na matumizi ya teknolojia ya kisasa ya kilimo ili kuongeza tija kwa wakulima wa Tanzania. Hayo yamesemwa leo Mjini Jeonju-si,Korea Kusini wakati wa mazungumzo…
DK.Mpango asisitiza uungwaji mkono matumizi nishati safi ya kupikia
Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kigoma Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango, amesema juhudi za kulinda mazingira zinazofanywa na taasisi mbalimbali kuhamasisha nishati safi ya kupikia zinastahili kuungwa mkono. Pia, ameipongeza Kampuni ya Oryx Gas Tanzania Limited (OGTL) kwa kazi nzuri inayoifanya…
Serikali yapata muarobaini kukabili uvamizi wa tembo nchini
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa amezindua programu maalum ya ujenzi wa vituo maalum 16 kwa ajili ya kuthibiti wanyama wahalibifu katika maeneo mbalimbali nchini vitakavyogharimu zaidi ya bilioni moja. Akizindua program hiyo na kushiriki kwenye ujenzi wa kituo…
‘Sekta ya madini sehemu sahihi ya biashara na uwekezaji’
Na Mwandishi Wetu Sekta ya Madini imekuwa ni sehemu sahihi ya biashara na uwekezaji kutokana na Miongozo, Maelekezo na Maagizo mbalimbali yanayotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa…