Latest Posts
CTI yahimiza wenye viwanda washiriki maonyesho ya viwanda Dar
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia SHIRIKISHO la Wenye Viwanda Nchini (CTI) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara (TanTrade), wameandaa maonyesho makubwa ya kimataifa ya viwanda ambapo zaidi ya viwanda 200 vya ndani na nje ya nchi vitashiriki maonyesho hayo….
Mwalimu ashikiliwa kwa tuhuma za kuwaingizia wanafunzi vidole sehemu za siri
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe linamshikilia mwalimu wa shule ya msingi Mwembetogwa iliyopo Mtila Kata ya Matola Halmashauri ya Mji wa Njombe,kwa tuhuma za kuwaingizia vidole sehemu za siri na kuharibu usichana wao. Kamishna Msaidizi…
Rc Mara atishia kutumia JKT kuhamisha halmashauri
Na Raphael Okello, JamhuriMedia,Musoma MKUU wa Mkoa wa Mara, Said Mtanda amewataka watendaji wakuu katika halmashauri za Wilaya ya Musoma na Bunda kuhamia katika majengo ya ofisi zao mpya ifikapo Oktoba 20, mwaka huu . Mtanda ametoa agizo hilo Septemba…
Ukweli kuhusu uzazi wa mpango ushirikishe wanaume kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi
Na Stella Aron, JamhuriMedia Mfumo dume ni kikwazo kimojawapo katika suala la ushiriki wa afya ya uzazi na kuchangia baadhi ya wanawake kutumia njia ya uzazi wa mpango kwa njia ya kificho na usiri. Mecy Haule (46) (si jina lake…
Global Education Link yawashusha presha waliokosa nafasi vyuo vikuu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia WAKALA wa Elimu ya Vyuo Vikuu Nje ya Nchi, Global Education Link (GEL), imewataka wazazi ambao watoto wao wamekosa nafasi za kusoma vyuo vikuu ndani ya nchi wasipate mfadhaiko wa moyo na badala yake wafike GEL…
Biteko : Viongozi nendeni mkawasikilize wananchi
Teresia Mhagama na Godfrey Lulinga Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewataka viongozi wa ngazi mbalimbali nchini kwenda kwenye maeneo ya wananchi kwa ajili ya kutoa huduma, kusikiliza kero zao na kuzitatua. Amesema hayo tarehe 28…