Latest Posts
Mume aua mke na mtoto kwa kuwanyonga
Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linamshikilia mwanaume mmoja (jina limehifadhiwa) mkazi wa kijiji cha Kaloleni, Wilayani Songwe akituhumiwa kwa mauaji ya Editha Msokwa (38) na mtoto wake mchanga wa miezi sita, Esther Emanuel chanzo kikielezwa kuwa ni wivu wa…
Serikali kutumia muundo wa NMB umiliki wa mashirika ya umma
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Kutokana na mafanikio makubwa iliyonayo Benki ya NMB, Serikali imesema inapanga kuutumia muundo wa umiliki wake kuchagiza tija katika kuyaendesha mashirika ya umma ili yawe na faida stahiki kwa taifa. Hiyo ni kwa mujibu wa Msajili…
Uwekezaji NSSF waongezeka kwa asilimia 111 na kufikia trilioni 7.15/-
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Thamani ya uwekezaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), imeongezeka kwa asilimia 111 kutoka Sh trilioni 3.4 Machi 2021 hadi kufikia Sh trilioni 7.15 Juni 30 mwaka 2023. Kwa mujibu wa mfuko huo ongezeko la…
Waziri Mkuu akaribisha wawekezaji kutoka China
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema hadi kufikia sasa China imewekeza zaidi ya dola bilioni 10 katika maeneo mbalimbali nchini na ametumia fursa hiyo kuwakaribisha wawekezaji wengine zaidi. Amesema kuwa takwimu za Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) zinaonesha kuwa kuna zaidi…
Dar yapatiwa mafunzo ya kukabiliana na athari za El Nino
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Viongozi na wataalam wa Mkoa wa Dar es Salaam leo Septemba 25, 2023 wameanza mafunzo ya siku mbili ya kujiweka sawa kukabiliana na athari zinazo weza kutokea endapo mvua kubwa za El-Nino zitanyesha siku za hivi…