Latest Posts
Dhahabu ya GGR yaifungua Tanzania kimataifa usafishaji madini
GGR kuleta mabadiliko katika uongezaji thamani madini Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Geita Imeelezwa kuwa Kiwanda cha Kusafisha dhahabu cha Geita Gold Refinery (GGR) kinachomilikiwa na mwekezaji Mtanzania Sarah Masasi kimeiweka Tanzania katika Soko la Kimataifa katika usafishaji wa dhahabu duniani….
Green Acres kuwakatia bima wanafunzi wote
ยทย Green Acres yaahidi kuendelea kuwa moto kitaaluma Na Mwandishi Wetu Shule ya Green Acres imejipanga kufanya mambo makubwa kwa mwaka 2023 / 2024 ikiwemo kuwakatia bima wanafunzi wa shule hiyo. Pia imeahidi kujenga maabara, chumba cha compyuta, kuboresha na…
Maadhimisho Siku ya Moyo, JKCI kufanya vipimo vya moyo Dar
Katika kuadhimisha siku ya Moyo Duniani tarehe 29/09/2023 yenye kauli mbiu “Tumia Moyo, Kulinda Moyo wako” wataalamu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Chama cha Madaktari Bingwa wa Moyo Tanzania (TCS) watatoa huduma ya upimaji na…
Tabora yaongoza kwa maambukizi ya ugonjwa wa malaria, MSD yaweka kambi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkoa wa Tabora umetajwa kuwa wa kwanza kitaifa kuwa na kiwango kikubwa cha maambukizi ya ugonjwa wa malaria hali inayotokana na imani potofu ya matumizi ya vyandarua vyenye dawa kuwa vinapunguza nguvu za kiume. Takwimu zinaonyesha…
Waziri Mollel: Sekta ya afya nchini yapata mafanikio makubwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Wizara ya Afya imesema, juhudi mbalimbali zinazofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan hususani katika kuimarisha Sekta ya Afya nchini zimewezesha sekta hiyo kurekodi mafanikio makubwa. Hayo yamesemwa leo Septemba…