Latest Posts
Waandishi wajengewa ujasiri kupambana na changamoto katika majukumu yao
Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waandishi wa habari licha ya kuwa watu muhimu katika jamii lakini wamekuwa katika mazingira ambayo siyo mazuri wanapokuwa.wakitekeleza majukumu yao ya kuhabarisha Umma kwani miongoni mwao kupata vitisho wengine kutekwa na wengine kufikishwa…
TNGC kuchochea mabadiliko kwenye sekta ya ardhi nchini
Na Dotto Kwilasa, Jamhurimedia,Dodoma SERIKALI ya Tanzania kwa kushirikiana na Korea imechukua hatua za kukabiliana na changamoto za ardhi kwa kuanzisha kituo cha Ubunifu na mafunzo ya teknolojia na taarifa za kijiografia (TNGC)hali itakayo boresha majukumu ya kupanga,kupima na kimilikisha…
Dkt.Biteko aiagiza Wizara ya Ardhi kupanga, kupima na kumilikisha ardhi kwa ufanisi
✔️Atoa angalizo la kutogeuka kuwa Wizara ya kutatua migogoro ya ardhi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Doto Biteko ameiagiza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kufanyia kwa ufanisi majukumu yake ya msingi ambayo ni kupanga, kupima…
Madaktari bingwa wa saratani watakiwa kutoa mapendekezo namna ya kutoa huduma bora
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Madaktari bingwa wa Saratani watakiwa kutoa mapendekezo na mikakati ya namna bora ya wagonjwa kuzifikia huduma sambamba na kupunguza rufaa zinazo epukika kwenda nje ya nchi kupata matibabu. Pia wametakiwa wataamu wa Saratani kujikita katika kufanya…
RC Ayoub apokea kero za wakulima wa mwani Pwanimchangani
Na Andrew Chale, JamhuriMedia, Zanzibar MKUU wa mkoa wa Kaskazini Unguja, Ayoub Mohammed Mahmoud amewaomba wananchi wa Shehia za Pwanimchangani na Kandwi wanaojihusisha na kilimo cha Mwani kuendelea kuwa na imani na Serikali yao kwani inalifanyia kazi suala lao la…
Waziri Silaa aanza na eneo la wazi Dodoma
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa ameanza kushughulikia migogoro ya matumizi ya ardhi kwa kukagua eneo la wazi lililopo mtaa wa Surungai eneo la Meriwa kwenye kata ya Ipagala mkoani Dodoma…