JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Picha: Rais Samia akishiriki Jukwaa la Mfumo wa Chakula ( AGRF)

Matukio mbalimbali katika picha wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi, washiriki na wadau wengine waliyohudhuria Jukwa la Mifumo ya Chakula Afrika linaloendelea katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere,…

Kilimo cha mazoea kwa kutegemea mvua kubaki historia tanzania

Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA Dar Es Salaam Serikali imesema kuwa mkutano wa Jukwaa la chakula Barani Afrika (AGRF) ni wa kimkakati kwa Tanzania ambapo mageuzi makubwa yanatarajiwa kushuhudiwa katika kilimo. Mageuzi hayo ni pamoja na kufanya kilimo kuwa cha…

Tanzania yapata mapokezi makubwa maonesho ya 68 ya Vito Thailand

Naibu Katibu Mkuu Mbibo awataka Wafanyabishara, Wachimbaji kuchangamkia fursa Na Wizara ya Madini- Bangkok Ushiriki wa Tanzania katika Maonesho ya 68 ya Vito na Usonara katika jiji la Bangkok nchini Thailand umewavutia Wafanyabiashara mbalimbali wa madini kutokana na wengi kutumia…

Bodi ya REA yataka umeme vijijini utumike kuzalisha mali

Na Veronica Simba – REA Bodi ya Nishati Vijijini (REB) inayosimamia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imetoa wito kwa wananchi walionufaika kwa kupata umeme kupitia miradi mbalimbali inayotekelezwa na Wakala hiyo, kuitumia nishati hiyo kwa shughuli za uzalishaji mali ili…