amhuri ya Msumbiji Mh. Filipe Nyusi akiwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere( JNIA) jijini Dar es Salaam leo Julai 01, 2024,  Mh. Nyusi yupo nchini kwa ziara ya kikazi, ambapo mepokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bw. Januari Makamba pamoja na viongozi wengine mbalimbali wa serikali.