JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

‘Nizikwe ndani ya saa 72’: Wosia wa Raila Odinga

Mwili wa Raila Amollo Odinga unatarajiwa kuwasili saa tatu na nusu asubuhi ya leo kutoka India, ambako alikuwa anapata matibabu kabla ya kupatwa na mauti. Familia yake imefichua kwamba ndani ya wosia wake, aliandika kuwa azikwe ndani ya saa 72….

Dk Samia leo kurindima Bukoba Mjini

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo anatarajiwa kufanya mkutano mkubwa wa kampeni mjini Bukoba, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake mkoani Kagera ambayo imepata mwitikio mkubwa wa wananchi….

Uchaguzi mmeukataa, mnautamani, mkoje?

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Ndugu zangu Watanzania, leo nataka kuandika mada ngumu kidogo. Niseme wazi tu kuwa nimefanya kazi hii ya uandishi kwa miaka 32 sasa. Nimeuona, nimeuandika, na nimeuishi uchaguzi. Nimeshuhudia mabadiliko mengi tangu uchaguzi wa…

Dk Mpango : Mwalimu Nyerere ni kielelezo na alama isiyofutika

Mpango azima Mwenge na Kuzindua Kitabu chake Na Ruja Masewa, JamhuriMedia, Mbeya Makamu wa Rais Dk. Philipo Mpango amezima rasmi Mwenge wa Uhuru na Kuzindua Kitabu chake cha Historia ya Miaka 61 ya Mbio hizo yaliyofanyika mkoani hapa jana Oktoba…

Wananchi Mkalama washangilia miradi ya uchimbaji visima vya umwaggiliaji

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Singida Wakazi wa Kijiji cha Miganga wilayani Mkalama, mkoani Singida, wameishukuru Serikali kwa neema ya miradi ya uchimbaji wa visima vya Umwagiliaji na kuahidi kulinda miundombinu hiyo kwa maslahi ya vizazi vijavyo. Wamesema kwa sasa wana…

Wanne mbaroni kuendesha televisheni mtandao bila leseni

Na Mwandishi wlWetu,JamhuriMedia,Dar es Salaam Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam kwa kushirikiana na Mamlakazingine za kisheria 3 ,Oktoba hadi 10 , 2025 limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wanne kwa tuhuma za kuendesha “Televisheni mtandao” bila kuwa na leseni. Waliokamatwa…