JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Rais Samia atoa wito kwa viongozi wa dini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa viongozi wa dini wa madhehebu mbalimbali kuwahimiza waumini wa dini zao kuzingatia mila, utamaduni na maadili ya Kitanzania.  Rais Samia ametoa wito huo leo katika hafla ya…

Ahukumiwa kuchapwa viboko 24 kwa kujaribu kubaka

Na Moses Ng’wat,JamhuriMedia,Songwe MAHAKAMA ya Wilaya ya Ileje mkoani Songwe imemuhukumu kuchapwa viboko 24 mkazi wa kijiji cha Msia,Kata ya Chitete, wilayani humo Furaha Maisoni Simkonda, kwa kosa la kujaribu kumbaka mwanafunzi wa darasa la kwanza mwenye umri wa miaka…

‘Tanzania ni miongoni mwa nchi 30 zenye kiwango kikubwa cha TB’

IMEELEZWA kuwa ugonjwa wa Kifua Kikuu ni Janga la Kitaifa na la Kidunia ambapo ni moja kati ya magonjwa yaliyokuwepo duniani kwa muda mrefu na umeshachukua maisha ya mamilioni ya watu Duniani kote. Hayo yamesemwa jana na Katibu Tawala wa…

Muhimbili kuanzisha ‘Sober House’, kliniki ya magonjwa ya akili

………………………………………………….. Hospitali ya Taifa Muhimbili ina mpango wa kuanzisha Kliniki ya Magonjwa ya Afya ya Akili ikiwemo huduma jumuishi za waraibu wa dawa za kulevya katika Kijiji cha Marekebisho ya Afya ya Akili, kilichopo Vikuruti Kata ya Chamazi ili kupunguza…

NMB yaibuka kinara tuzo za TRA

Benki ya NMB imeibuka kinara katika tuzo za mlipa kodi mkubwa zinazotolewa na Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA). Benki hiyo imeshinda tuzo tatu zinazoitambua kama mlipa Kodi Mkubwa nchini kwa mwaka 2021/2022. Tuzo hizo ni mshindi wa kwanza; taasisi inayozingatia…

Afrika Kusini kufanya tamasha lake la utamaduni nchini

Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imewataka Watanzania kujitokeza katika msimu wa Tamasha la utamaduni la Afrika ya kusini litakalofanyika kwa wiki moja. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Said Yakubu…