JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Bil.77/- zavunwa maonesho Sabasaba

Bidhaa mbalimbali zenye thamani ya sh bilioni 3.8 zimeuzwa wakati wa Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ‘Sabasaba 2023’  ikilinganishwa na sh bilioni 3.6 zilizopatikana katika maonesho ya mwaka jana. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania…

Jeshi la Polisi kuendelea kuimarisha ulinzi na usalama kwa watalii

Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi-Dar es Salaam Jeshi la Polisi limesema kuwa litaendelea kuunga mkono juhudi za Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi la ulinzi na usalama Daktari Samia Suluhu hassan Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania katika…

Wizara ya madini yashinda tuzo kipengele cha nishati, madini

Wizara ya Madini kwa kushirikiana na Taasisi zake na Wadau wa Sekta ya Madini imeibuka Mshindi Namba 1 katika kipengele cha Nishati na Madini kwenye kilele cha Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Sabasaba Asanteni sana wananchi na wadau wote…

Moshi wa mkaa na kuni, chanzo kingine cha upumuaji

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Pwani “Nimetumia kuni kwa miaka takriban kumi na mkaa nimeutumia kwa zaidi ya miaka mitano ,pamoja na mabaki ya mbao katika biashara yangu ya kuuza chips,mishkaki na kukaanga kuku” Katika miaka yote hiyo sikujua kama nazalisha hatari…

Serikali yatoa milioni 560 kujenga sekondari mpya Mbinga

Na Albano Midelo,JamhuriMedia,Mbinga Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan Imetoa zaidi ya shilingi milioni 560 kupitia program ya Uboreshaji Elimu ya Sekondari (SEQUIP) kujenga sekondari mpya wilayani Mbinga. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga…