JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Dk Kisenge : Wananchi 1000 wanufaika na tiba Mkoba Arusha

Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha MKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Dkt. Peter Kisenge amesema kuwa zaidi ya wananchi 1,000 wa Jiji la Arusha na maeneo ya jirani wamenufaika kupitia Mpango wa Tiba Mkoba wa Dkt. Samia…

Waziri Sangu, Balozi UAE wajadili fursa za ajira kwa Watanzania

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu, amekutana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Falme za Kiarabu (UAE), Mhe. Luteni Jenerali (Mst) Yacoub Mohamed, katika Ofisi Ndogo…

Meya Kibaha atoa siku saba kwa Rasbery Farm kudhibiti inzi

Na Mwamvua Mwinyi, JamhueiMedia, Kibaha BAADHI ya wakazi wa Mtaa wa Madafu, Kata ya Visiga, Manispaa ya Kibaha mkoani Pwani, wameilalamikia Rasbery Farm, kiwanda cha kufuga kuku, kwa kusababisha kero ya nzi wengi na kuhofia kuhatarisha afya zao na kuathiri…

Urusi : Droni za Ukraine zimeua 24 Kherson

Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi ilitaja tukio hilo kuwa “shambulio la kigaidi,” huku ikisema Rais Vladimir Putin amearifiwa. Mamlaka zilizowekwa na Urusi katika eneo la Kherson nchini Ukraine zimesema zaidi ya watu 24 wameuawa baada ya shambulio la…