JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Serikali yasisitiza utekelezaji asilimia 30 ya zabuni kwa makundi maalum

Na Oscar Tarimo, WMJJWM, Morogoro Serikali imeendelea kusisitiza utekelezaji wa kutenga asilimia 30 ya zabuni za umma kwa makundi maalum ili kuongeza ushiriki wa makundi hayo katika shughuli za kiuchumi na kuchochea maendeleo jumuishi nchini. Akizungumza leo tarehe 13 Machi…

Dk Dimwa : Awataka UVCCM kwenda na wakati sayansi na teknolojia

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dkt. Mohamed Said Dimwa, ameitaka Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) kuendeleza utamaduni wa kuwajengea uwezo wa kitaaluma na kiuongozi vijana ili kuandaa kizazi cha viongozi na watendaji bora wa…

Masoko ya Madini Tanzania; wazi, fursa na utajiri

Na Wizara ya Madini Kabla ya mwaka 2019, biashara ya madini ya dhahabu na vito nchini Tanzania, hususan kwa wachimbaji wadogo na wafanyabiashara, ilifanyika bila kuwepo kwa maeneo rasmi ya kukutana. Hali hiyo ilisababisha kutokuwepo kwa uwazi katika bei, udanganyifu…

REA yaanza usambazaji wa majiko banifu 8,424 Kigoma

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kibondo Wakala wa Nishati Vijijini imeanza utekelezaji wa mpango mkakati wa kitaifa wa nishati safi ya kupikia ili kufikia lengo la zaidi ya asilimia themanini 80% ya watanzania ifikapo mwaka 2034 wawe wanatumia nishati safi ya…

REA kumaliza kilio cha umeme vitongoji sita Ukanda wa Ziwa Nyasa, bilioni 3.1/- zatumika

Na Stella Aron, JamhuriMedia, Ludewa Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), inatarajia kumaliza kilio cha wakazi wa vitongoji sita vilivyopo ukanda wa Ziwa Nyasa wilayani Ludewa, Mkoa wa Njombe, kwa kufikiwa na mradi wa kusambaza umeme uliogharimu sh bilioni…