JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Wanawake watatu wapata fursa ya kupandikizwa mimba bure kituo cha Kairuki (KGIVF)

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WANAWAKE watatu wamebahatika kupata fursa ya kupandikiza mimba bure katika kituo cha kupandikiza mimba cha Kairuki Green IVF (KGIVF), Kilichoko Bunju A Mianzini jijini Dar es Salaam. Walipata fursa hiyo jana jioni wakati…

Dk Mataragio : Miradi sekta ya mafuta asilia ikamilike kwa wakati

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Mafuta na Gesi Asilia, Dkt. James Mataragio, ameitaka Menejimenti ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuhakikisha kuwa miradi ya mafuta na gesi asilia inayoendelea nchini inatekelezwa na kukamilika kwa wakati ili…

Tanzania, Uganda zasaini makubaliano kuimarisha ushirikiano wa kimkakati reli ya SGR

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Uganda zimeendelea kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia na kiuchumi kufuatia kusainiwa kwa Hati ya Makubaliano (MoU) wakati wa Mkutano wa Tano wa Tume ya Pamoja ya Kudumu (JPC) uliotamatika…

Prof. Shemdoe, Balozi wa Tanzania Ufaransa wajadili mikakati kuvutia uwekezaji Bonde la Msimbazi  

Na OWM – TAMISEMI, Ufaransa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amekutana na Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa, Mhe.Ali Mwadini, kujadili mikakati ya kuvutia na kutafuta wawekezaji katika eneo la Bonde la Msimbazi…

Waziri Mkuu : Katavi kufunguliwa kwa lami pande zote

‎Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imedhamiria kujenga barabara zote zinazounganisha mkoa wa Katavi kwa lami ili kuufanya mkoa wa kimkakati na kibiashara. ‎Amesema hayo koani Katavi alipoweka jiwe la msingi ujenzi wa…