Latest Posts
Pwani yazidi kuendeleza mafanikio sekta za umma na uwekezaji – Mnyema
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Mkoa wa Pwani unaendelea kuonyesha mafanikio makubwa katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo na sekta mbalimbali, amesema Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi wa Mkoa huo, Pili Mnyema, ambaye pia ni Katibu Tawala wa Mkoa. Mnyema…
Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Handeni Mji kuzinduliwa Machi 5
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Handeni KATIKA kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Halmashauri ya Mji Handeni imejipanga kutekeleza shughuli mbalimbali ikiwamo uzinduzi wa Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi. Akizungumza kuhusu maandalizi ya maadhimisho hayo, Mkurugenzi wa Halmashauri…
Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani, ACT Wazalendo wazindua mnara wa kumbukizi ya waliofariki Oktoba 29
Na Mwandishi wetu, JamhuriMedia, Dar es salaam Kuelekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Chama cha ACT Wazalendo kupitia ngome yake ya wanawake kimezindua mnara wa kumbukumbu kwa ajili ya watu waliopoteza maisha kufuatia matukio ya vurugu yaliyotokea Oktoba 29,…
Masauni atoa wito kutumia fursa zilizopo kwenye mazingira
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Unguja SERIKALI ya Awamu ya Sita pamoja na mambo mengine imeimarisha zaidi ushirikiano wa kimataifa na kutoa mchango mkubwa katika masuala ya kikanda na kimataifa yanayohusu mazingira na mabadiliko ya Tabianchi. Waziri wa Nchi Ofisi ya…
Israel na Iran zaendelea kushambuliana
Israel imeendelea kuyashambulia maeneo kadhaa ndani ya Iran usiku wa kuamkia leo na Iran nayo imejibu kwa kuvurumisha makombora ya masafa kuelekea Israel na kwenye nchi kadhaa za ghuba ya Uajemi. Mitikisiko mikubwa ilisikika kwenye mji mkuu wa Iran, Tehran,…
Prof. Shemdoe aelekeza maafisa lishe na Maendeleo ya Jamii kupatiwa usafiri
Na OWM – TAMISEMI, GEITA Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI Mhe. Prof. Riziki Shemdoe ameelekeza Maafisa Lishe na Maendeleo ya Jamii wanaosimamia utekelezaji wa Mradi Jumuishi wa Lishe katika Mkoa wa Geita, Tabora na Iringa kupatiwa vyombo…





