Latest Posts
TANESCO yabaini matukio ya wizi wa umeme Kinondoni Kaskazini
📌 Operesheni ya ukaguzi wa mita yabaini matumizi yasiyo halali ya umeme eneo la Visiwani, Mwananyamala na Mivumoni 📌 TANESCO yawataka wananchi kutoa taarifa za vitendo vya wizi wa umeme Ma Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Shirika la Umeme…
Madereva 56 wafikishwa mahakamani, 12 wafungiwa leseni Pwani
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani MADEREVA 56 wamefikishwa mahakamani mkoani Pwani kwa makosa mbalimbali ya usalama barabarani, huku madereva wengine 12 wakifungiwa leseni kwa kukiuka sheria za usalama barabarani. Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Pwani, Edson Mwakihaba, amesema…
Nombo : Weledi na uadilifu ni msingi wa utendaji
Na Mwandishi Wetu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Carolyne Nombo, amewapongeza watumishi wa wizara hiyo kwa kazi kubwa na mafanikio waliyoyapata katika mwaka wa fedha uliopita, huku akiwataka kuendelea kuyasema kwa ujasiri mafanikio hayo yaliyoiwezesha…
Bei za mafuta Septemba zashuka nchini
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kushuka kwa bei za bidhaa za mafuta kwa mwezi Septemba 2026. Bei ya petroli imeshuka kwa Shilingi 102 kwa lita, huku bei ya dizeli ikishuka kwa Shilingi 101 kwa…
Msajili wa Hazina ateta na uongozi wa kampuni ya Barrick
Na Mwandishi wa OTR Dar es Salaam. Msajili wa Hazina, Bw. Nehemiah Mchechu, amekutana na kufanya mazungumzo na wawakilishi wa Barrick Corporation, mwanahisa mwenza wa Twiga Minerals Corporation Limited (TWIGA), pamoja na uongozi wa TWIGA, kujadili maendeleo na masuala mbalimbali…
Mhe. Salome: Wizara ya Nishati ina wajibu wa kuhakikisha wananchi wanapata umeme wa uhakika
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, amesema jukumu kuu la Wizara ya Nishati ni kuhakikisha wananchi wanapata umeme wa uhakika na wanapatiwa taarifa kwa wakati pindi changamoto zinapojitokeza. Mhe. Makamba ameyasema hayo leo, tarehe 01 Septemba 2026, wakati akijibu…





