JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

TACTIC yaimarisha huduma za usafiri na usafirishaji Manispaa ya Sumbawanga

Na Mwandishi Wetu MRADI wa Uendelezaji Miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC) unaelezwa kuimarisha huduma za usafiri na usafirishaji katika Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa baada ya ujenzi wa miundombinu ya barabara. Hayo yamebainishwa na Kaimu Mkurugenzi Manispaa ya…

Global Education Link yaanza kusafirisha wanafunzi nje ya nchi

Na Mwandishi Wetu WANAFUNZI 100 wamesafiri kwenda kwenye vyuo vikuu mbalimbali nchini India kwa mwaka huu wa masomo kupitia Global Education Link. Meneja Mkuu wa GEL, Regina Lema alisema taasisi hiyo imekuwa na kawaida ya kuwasindikiza wanafunzi hao hadi kwenye…

Kitila Mkumbo, Angellah Kairuki warudisha fomu kwa mtindo huu

……………………………………… Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kibamba kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Angellah Kairuki, amerudisha rasmi fomu ya uteuzi kwa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), hatua muhimu kuelekea kuteuliwa rasmi kugombea ubunge katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu….