Latest Posts
Viongozi acheni kumtegea Rais Magufuli
Kuna kundi kubwa la wananchi ambao wamekuwa wakizunguka katika ziara anazofanya Rais Dk. John Magufuli kwa lengo la kufikisha kero zao kwake. Watu hao wamefikia hatua hiyo baada ya viongozi na watumishi katika ngazi nyingine kushindwa kuwasaidia kutatua matatizo yao….
Uamuzi wa Busara
Uamuzi wa Busara ni jina la kitabu kilichochapishwa na Ofisi ya Katibu Mtendaji Mkuu wa TANU, kimebeba mambo muhimu yaliyoamuliwa kuhusu taifa kabla ya kupata uhuru. Yapo mambo ambayo kama yasingefanyika ingekuwa vigumu kujua historia ya nchi hii ingekuwaje leo….
Roundup wana kesi Marekani, hapa tunauziwa bidhaa zao
Nimeshtushwa hivi karibuni kusikia dawa ya kuua magugu inayoitwa Roundup ikitangazwa kuuzwa madukani na kituo kimojawapo cha redio nchini. Mwaka 2015 Shirika la Afya Duniani (WHO) lilitamka kuwa glyphosate, ambayo inatumika kutengeneza Roundup, inaweza kusababisha saratani. Nilishangaa zaidi, baada ya kufanya uchunguzi mfupi, kugundua kuwa…
Kuzuia mali za ndoa kuuzwa wakati kesi ikiendelea
Unakuta umefungua shauri la ndoa, inaweza kuwa maombi ya talaka, mgawanyo wa mali, malezi ya watoto au vyote. Wakati huo ambapo kesi haijaanza, au imeanza lakini haijaisha, unahisi au umeona mali za ndoa ambazo pengine zinatakiwa kugawanywa zikiwa katika hatari…
Jamii ihimize utu, ipinge unyama
Makala hii inatudai kufasili maneno utu na unyama ambayo ni sehemu ya anuani. Kwa mujibu wa Kamusi ya Kiswahili Sanifu iliyotolewa na Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili – TUKI (sasa, Taasisi ya Taaluma za Kiswahili – TATAKI), mwaka 1981, utu…
Rais wangu utatukuzwa kwa mema yako (1)
Rais wangu, wako watu wanaosema, ‘dini zamani!’ Wengine wanasema zaidi ya hapo eti ‘hakuna Mungu!’ Haya ni matokeo ya kazi inayofanywa na baadhi ya viongozi wa dini wa kileo. Huko tulikotoka viongozi wa dini walikuwa na uwezo mkubwa hata wa…