JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Kisarawe imefanikiwa kudhibiti vifo

Wilaya ya Kisarawe, Mkoa wa Pwani imepunguza idadi ya vifo vya kina mama wajawazito kutoka vifo 9 hadi 1 kwa mwaka. Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Kisarawe, Glason Mlamba, amesema mafanikio hayo yamepatikana baada ya kuona vifo vinaongezeka, wakaanza…

Mugabe aagwa, azikwa

Muasisi wa taifa la Zimbabwe, Robert Mugabe, alizikwa Jumapili iliyopita katika makaburi ya kitaifa mjini Harare. Wafuasi wa Mugabe walipanga foleni kutoa heshima za mwisho siku ya Alhamisi katika Uwanja wa Rufaro mjini Harare. Mke wa Mugabe, Grace, pamoja na…

Marekani yampiga marufuku Jenerali Kayihura

Serikali ya Marekani imempiga marufuku aliyekuwa Inspekta Jenerali wa Polisi Uganda, Jenerali Kale Kayihura, pamoja na familia yake kuingia Marekani. Marekani ilisema ina taarifa za kuaminika kwamba Kayihura, ambaye alikuwa mkuu wa Polisi wa Uganda kati ya mwaka 2005 na…

Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (29)

Wiki iliyopita nilihitimisha makala hii katika sehemu ya 28 kwa kuhoji hivi: “Je, unafahamu jinsi ya kufanya marejesho ya VAT kwa njia ya mtandao na faida zake? Usikose sehemu ya 29 ya makala hii Jumanne ijayo. Hapa nia ni kuhakikisha…

Mapito ya bosi mpya Usalama wa Taifa

Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) imempata bosi mpya, Diwani Athumani Msuya, ambaye wiki iliyopita aliteuliwa na kuapishwa na Rais John Magufuli kushika wadhifa wa Mkurugenzi Mkuu wa idara hiyo. Kabla ya uteuzi huo, Kamishna Msuya alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa…

TPA: Bandari Ziwa Nyasa chachu ya maendeleo Kusini

Katika makala ya leo tutaona jinsi Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Mheshimiwa Dk. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) jinsi inavyoweka mazingira wezeshi kibiashara na kuboresha…