Latest Posts
Kinana:Demokrasia imechangia CCM kukaa madarakani muda mrefu
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Katavi Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrhman Kinana ametaja sababu tatu za kwanini Chama hicho kimekaa madarakani kwa muda mrefu na moja ya sababu ni uwepo wa demokrasia ya uhuru watu kujieleza na kutoa maoni yao….
Gari la shule laua wanafunzi 8, Rais Samia atoa pole
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Mtwara RAIS Samia Suluhu Hassan amesikitishwa na taarifa ja ajali iliyosababisha watu 10 kupoteza maisha baada ya gari la shule kutumbukia shimoni. Ajali hiyo imetokea leo baada ya gari lenye namba za usajili T 207 CTS Mali…
Balozi Asha-Rose Migiro atembelea kambi ya timu ya Tanzania
BALOZI wa Tanzania nchini Uingereza Dkt. Asha-Rose Migiro ametembelea kambi ya wanamichezo wa Tanzania wataoshiriki kwenye Michezo ya 22 ya Jumuiya ya Madola iliyopangwa kuanza Julai 28, 2022, na kuwatakia kila la heri kwenye michuano hiyo inayoshirikisha jumla ya nchi…