JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Khamis Mgeja ameacha historia ya ujasiri, uzalendo

Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Tanzania Mzalendo Foundation, Khamis Mgeja, amefariki dunia ghafla Novemba 3, 2025, nyumbani kwake mjini Kahama, mkoani Shinyanga ambapo anatarajia kuzikwa leo. Mgeja ni mmoja wa wanasiasa waliowahi kushika nafasi mbalimbali ndani…

RC Kagera apiga kura, awahakikishia usalama wananchi

Na Theophilida Feliciani, JamhuriMedia, Kagera Ikiwa leo tarehe 29, Oktoba 2025 ni siku muhimu kwa Watanzania kuwachagua viongozi Mkuu wa Mkoa Kagera Hajath Fatma Mwassa ameungana na watanzania wengine kutimiza haki yake ya kuwachagua viongozi wa udiwani, wabunge na Rais….

Waziri Ndumbaro apiga kura, apongeza utulivu na amani

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ameambatana na familia yake kupiga kura katika kituo namba moja cha Mjimwema A, eneo ambalo amekuwa akipigia kura kwa miaka mingi. Akizungumza mara baada ya kupiga kura,…