JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Sababu Halmashauri ya mji Kibaha kupandishwa hadhi kuwa Manispaa

Serikali imetangaza rasmi kupandisha hadhi ya Halmashauri ya Mji wa Kibaha kuwa Manispaa ya Kibaha kuanzia Juni 20, 2025. Uamuzi huu ni sehemu ya mkakati wa serikali kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi na kuharakisha maendeleo ya miji inayokua kwa…

Pinda ataka haki mchakato wa wagombea

WAZIRI Mkuu mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) Taifa, Mizengo Pinda amewataka waliopewa dhamana ya kusimamia mchakato wa uteuzi wa wagombea kwenye chama hicho kutenda haki. Pinda amesema kwa kufanya hivyo wataweza kuondoa…

Bilioni 28.8 zaimarisha sekta ya elimu Manyara kupitia mradi wa SEQUIP

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Manyara Mkoa wa Manyara umepokea kiasi cha Shilingi Bilioni 28.499 kwa ajili ya ujenzi wa Miundombinu mbalimbali ambayo tayari imeanza kufanya kazi huku mingine ikiendelea na ukamilishaji wa maeneo yaliyosalia. Fedha hizo zote zimetolewa na serikali…

Wanafunzi wamiminika banda la TCCIA

Baadhi ya wanafunzi wa Kidato cha Nne mchepuo wa Biashara kutoka Shule ya Sekondari Mwinyi iliyopo Mkuranga, Mkoani Pwani, wametembelea banda la Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA) katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Sabasaba yanayoendelea jijini…

Wasanii Chege na Madee wainogesha Sabasaba

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam WASANII nguli wa muziki wa Bongo Fleva, Said Juma ‘Chege Chigunda’ na Hamad Ally ‘Madee’, maarufu kama Samia Kings, wameinogesha Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba) kwa…

Bilioni 5.7 kukamilisha ujenzi shule mbili Siha – Kilimanjaro

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilimanjaro Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetoa jumla ya shilingi Bilioni 5.7 kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa Kuboresha Ubora wa Elimu ya Sekondari (SEQUIP) katika Wilaya…