Latest Posts
Naombeni ridhaa yenu Jimbo la Mbulu Vijijini nilete mabadiliko -Mgombea CHAUMMA
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbulu Vijijini Mkoani Manyara, kupitia Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Mwalimu Stephen Siasi, amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa nafasi ya Ubunge katika Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu. Mwalimu Siasi amekabidhi…
Mgombea Jimbo la Mafinga kwa tiketi ya CHAUMMA aahidi kuongeza ajira
Mgombea ubunge wa Jimbo la Mafinga Mji kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Ngwada Mubarak Twaha, ameamua kuingia kwenye kinyang’anyiro hicho ili kupambana na tatizo kubwa la ukosefu wa ajira, hususan kwa vijana wenye shahada za vyuo vikuu ambao…
Mgombea ACT Wazalendo Jimbo la Sumbawanga achukua fomu
Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Jimbo la Sumbawanga Mjini Frank J. Maten, amekabidhi fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Sumbawanga Mjini kwa Edwin Matondwa Kachoma mgombea Ubunge kupitia tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo. Kachoma amesema kuwa anaimani atapata nafasi ya…
Mbio za Urais 2025, vyama 17 vyapeta, ACT Wazalendo nje
Mbio za Urais 2025: Vyama 17 Vyaidhinishwa, ACT Wazalendo Nje Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) leo Agosti 27, 2025, imetangaza orodha ya wagombea wa urais watakaoshiriki katika Uchaguzi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa…
Dk Biteko azindua teknolojia ya kuondoa uvimbe mwilini bila upasuaji
📌 Ni kwa mara ya kwanza kufanyika Afrika Mashariki na Kati 📌 Aipa kongole Hospitali ya Kairuki kwa kutoa punguzo la asilimia 50 kwa wagonjwa 50 wa kwanza 📌 Asema Serikali itaendelea kuweka msukumo ushirikiano na Sekta binafsi 📌 Awaasa…