JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Watu 607 waliokamatwa kufanya vurugu wakati wa uchaguzi mkuu waachiliwa

‎Na Mwandishi Wetu, Namtumbo WAZIRI wa Katiba na Sheria Dkt Juma Homera amesema,zaidi ya watu 607 kati ya 2,500 waliokamatwa baada ya kufanya vurugu kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka huu wameachiliwa huku wengine 1,736 wataachiliwa hivi karibuni. ‎Waziri…

Serikali yasisitiza kutozuia maiti hospitalini

Na WAF, Kigoma‎ ‎Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Florence Samizi, ameendelea kuzisitiza hospitali zote nchini kutozuia maiti kwa sababu yoyote, akisema kuwa hatua hiyo ni utekelezaji wa ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan,…

Ndejembi awahakikishia wakazi Kigamboni umeme wa uhakika

*Afanya Ziara katika Kituo cha Dege  *Aelekeza hatua za haraka kuchukuliwa kunusuru hali ya umeme Kigamboni *Umeme wa Megawati 22 kupatikana kwa hatua za haraka  *Upanuzi wa Kituo cha Dege wafikia asilimia 60 Waziri wa Nishati Mhe. Deogratius Ndejembi amefanya…

Waziri Mavunde awaasa wamiliki wa leseni za uchimbaji madini kuzingatia sheria na kanuni za uchimbaji

● Maboresho ya Kanuni za Haki Madini za Mwaka 2025 yaongeza ufanisi kwa wenye maduara na kupunguza migogoro, ‎● Wamiliki wa Leseni za Utafiti wasioendeleza Leseni kufutiwa Leseni ‎● Vikundi vya vijana na wanawake vyaendelea kunufaika na utekelezaji wa Programu…

Jamii yatakiwa kumlinda na kumthamini mnyama Punda

Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha Jamii imetakiwa kuhakikisha inamlinda,kumtunza na kumthamini mnyama punda kwani amesahaulika kwenye jamii wakati ana mchango mkubwa sana . Hayo yamesemwa jijini Arusha na Afisa maendeleo ya jamii wa shirika la (ASPA) ,Albert Mbwambo wakati akizungumza…

Mawakala wa utalii Uingereza watembelea Tanzania kuona vivutio

Mwezi mmoja baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu nchini Tanzania wadau wa utalii duniani wanaendelea kumiminika ambapo mawakala wakubwa wa utalii kutoka Nchini Uingereza wako nchini kutembelea hifadhi mbalimbali ili kuona vivutio vya utalii na fursa za uwekezaji kwa lengo la…