JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

DIT Mwanza yaanzisha kozi mpya ya Teknolojia ya Uchakataji Ngozi

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) Kampasi ya Mwanza imeanzisha kozi mpya zinazolenga kuongeza ujuzi wa vijana katika sekta ya ngozi, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuchochea ajira na kuendeleza viwanda…

Waziri Mkuu Majaliwa afungua kikao cha viongozi TRA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 08, 2025 anafungua kikao kazi cha Viongozi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (IACC). Kikao hicho kinatoa nafasi kwa viongozi na watumishi wa TRA kufanya tathmini…

Tanzania, Korea kufanya mradi wa upanuzi wa mfumo wa Gothomis

Na Angela Msimbira, Seoul, Korea Serikali ya Korea Kusini kupitia shirika la KOICA imeandaa Mkutano wa Kimataifa kubadilishana uzoefu kwenye kuboresha mifumo ya usimamizi wa huduma za afya kwa kutumia teknolojia ya kisasa. Mkutano huu umehusisha watalaam kutoka Tanzania na…

TPDC yapata tuzo ya taasisi bora Sabasaba kwa miaka mitano mfululizo

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeandika historia kwa kutwaa tuzo ya Taasisi Bora za Umma katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), ikiwa ni mara…