JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mgombea ACT Wazalendo Jimbo la Sumbawanga achukua fomu

Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Jimbo la Sumbawanga Mjini Frank J. Maten, amekabidhi fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Sumbawanga Mjini kwa Edwin Matondwa Kachoma mgombea Ubunge kupitia tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo. Kachoma amesema kuwa anaimani atapata nafasi ya…

Mbio za Urais 2025, vyama 17 vyapeta, ACT Wazalendo nje

Mbio za Urais 2025: Vyama 17 Vyaidhinishwa, ACT Wazalendo Nje Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) leo Agosti 27, 2025, imetangaza orodha ya wagombea wa urais watakaoshiriki katika Uchaguzi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa…

Dk Biteko azindua teknolojia ya kuondoa uvimbe mwilini bila upasuaji

📌 Ni kwa mara ya kwanza kufanyika Afrika Mashariki na Kati 📌 Aipa kongole Hospitali ya Kairuki kwa kutoa punguzo la asilimia 50 kwa wagonjwa 50 wa kwanza 📌 Asema Serikali itaendelea kuweka msukumo ushirikiano na Sekta binafsi 📌 Awaasa…

Mndolwa awataka watumishi wapya NIRC kuzingatia uadilifu katika utumishi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), Bw. Raymond Mndolwa, amewataka watumishi wapya wa NIRC kutumia maarifa na ujuzi walionao ili kufanikisha malengo ya Tume na kuzingatia uadilifu katika utendaji. Amesema kila mtumishi…

REA yaendelea kuwaunganishia umeme wananchi Manyara

📌Bodi ya REA yashuhudia wananchi wakiunganishiwa umeme 📌Vijiji vyote 440 vimeunganishwa na umeme Manyara 📌Wakandarasi wanaotekeleza miradi ya REA watakiwa kumaliza kazi kwa wakati 📌Elimu umuhimu wa huduma ya umeme kwa wananchi yatolewa Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Manyara Serikali kupitia…