Latest Posts
Sababu za kutosikia kwa ufasaha
Mawimbi ya sauti yanaingia kwenye sikio la nje kupitia mfereji wa sikio; hivyo kusababisha ngoma ya sikio na ile mifupa midogo midogo milaini sana ndani ya sikio inayojulikana kama ngoma ya sikio iliyopo katika sikio la kati kutetemeka. Kutetemeka kwa…
‘If you can’t fight them, join them’ (2)
Sehemu iliyopita mwandishi wa makala hii alirejea hadithi iliyotolewa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kuhusu msichana mzuri aliyekuwa akichumbiwa. Akaeleza namna Mwalimu alivyohakikisha hageuki jiwe katika kuijenga nchi kwenye misingi ya kijamaa. Hii ni sehemu ya pili…
Tuwe waangalifu kilimo kimejaa hadaa, hujuma
Historia duniani inaonyesha jinsi ambavyo mbinu mbalimbali zimetumika kudidimiza kilimo katika nchi zetu ili tugeuke wategemezi. Hujuma ya kwanza dhidi ya kilimo chetu ilikuwa enzi ya ukoloni. Wakoloni hawakutaka tujitosheleze kwa chakula au tuanzishe viwanda vinavyotumia mazao ya kilimo. Enzi…
Kazi si balaa, kazi ni baraka
Binadamu anaposhirikiana na binadamu wenzake katika kufanya kazi huwa hana budi kutimiza mambo matatu; wajibu, uwezo na kujituma. Anapotimiza haya hupata maendeleo yake na ya wenzake. Hii ni moja ya taratibu za binadamu katika kufanya kazi. Watanzania hatuko nje ya utaratibu huu….
Yah: Adha ya mlalahoi wa Kitanzania
Nichukue fursa hii kutoa salamu zangu za dhati kwa mtu ambaye alikuwa akijulikana kwa jina la mlalahoi miaka michache baada ya kuingia mfumo wa vyama vingi vya siasa hapa nchini. Jina hili tulipewa kundi fulani na wanasiasa wetu kwa lengo…
Ndugu Rais njia yetu ni moja
Ndugu Rais, imeandikwa kuwa mwanadamu ni mavumbi. Mavumbini ulitoka na mavumbini utarudi! Ulitoka kwa udongo na utarudi kwa udongo! Kati yetu sisi wote hakuna atakayekufa halafu jeneza lake lihifadhiwe dalini au juu ya mti kama mzinga wa nyuki. Haijalishi litakuwa…